Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yupo kwao zenji anaendelea na ishu zake za kutembeza watalii(tour guider)...hupatikana sana maeneo ya mji mkongwe na vipensi vyake na begi kubwa mgongoni kama mpanda milima!
mmoja ya washiriki anakutungia sheria Dodoma! usuperstar mavi ya kuku?yule jamaa dah, hv alipewa sh ngap za ushindi vile, mi nshasahau afu kibaya zaid kale kamchezo kajamfanya mshindi hata mmoja akawa superstar or just a star, cjui kwa nin
ushindi sio lazima uwe superstar au kujulikana kwneye magazeti/mitandao kila sikuyule jamaa dah, hv alipewa sh ngap za ushindi vile, mi nshasahau afu kibaya zaid kale kamchezo kajamfanya mshindi hata mmoja akawa superstar or just a star, cjui kwa nin
Huwezi kutoboa kwenye tukio la kimsimu halafu hilo hilo likakufanya uwe super star! Na ndio maana, wanaotoboa kwenye matukio ya msimu na wakawa ma-superstar ni wale ambao hatimae waliingia kwenye angle za kudumu kv akina Wema Sepetu kutoka Miss Tanzania (tukio la msimu) kwenda kwenye filamu (angle za kudumu)! Hata Richard Bezuidenhout ameshapotea na mtoko wake wa tukio la msimu la Big Brother!yule jamaa dah, hv alipewa sh ngap za ushindi vile, mi nshasahau afu kibaya zaid kale kamchezo kajamfanya mshindi hata mmoja akawa superstar or just a star, cjui kwa nin
jiji la Antwerp au BrusselsNilisikia alienda nchi moja barani ulaya
Hii mpyaNaskia jamaa kapiga tukio la hatari magomeni
Breaking mkuu, kama ni kweli itamharibia mnoHii mpya
Tukio ganiNaskia jamaa kapiga tukio la hatari magomeni