Hashpower7113
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 1,353
- 2,142
Toa dodoso mkuuBreaking mkuu, kama ni kweli itamharibia mno
Naskia Wamemuua Demu mmoja wa Dodoma kwa kumtupa Ghorofani... Yupo ndani na wenzake...Vuta subira kidogo mkuu
Breaking mkuu, kama ni kweli itamharibia mno
Kama ni kweli na itathibitika mbele ya macho ya sheria basi itakula kwakeNaskia Wamemuua Demu mmoja wa Dodoma kwa kumtupa Ghorofani... Yupo ndani na wenzake...
Habari zenu wana JF. Naomba kuuliza yupo wapi yule mshindi wa maisha plus season 1, aliejulikana zaidi kwa jina lake la kwanza yaan ABDUL. Kwa yeyote anaejua, naomba atujuze alipo huyu jamaa.
Asanteni.