Yupo wapi Abdul wa Maisha Plus?

Yupo wapi Abdul wa Maisha Plus?

Tetesi kauwa mdada mmoja wa dodoma apo magomeni mapipa kamtupa ghorofani
 
Habari zenu wana JF. Naomba kuuliza yupo wapi yule mshindi wa maisha plus season 1, aliejulikana zaidi kwa jina lake la kwanza yaan ABDUL. Kwa yeyote anaejua, naomba atujuze alipo huyu jamaa.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom