field marshall1
JF-Expert Member
- Sep 17, 2017
- 2,061
- 4,686
Ni miezi minne tangu yule nabii Tito, ambaye kimsingi alikuwa ana matatizo ya afya ya akili alikamatwa na Polisi lakini hadi leo hakuna habari zozote za kumhusu zikiwamo za kufikishwa mahakamani kama alikuwa ana makosa ya mtandao, au hatukuelezwa kama amepelekwa hospitali ya watu wenye matatizo ya akili.
Kuna habari zilizojitokeza wakati alipokamatwa tu, kuwa aliuawa. Je nini kiliendelea? Je kosa la mtandao, adhabu yake ni kifo cha kimya kimya, watanzania hasa watanganyika tumtendee haki mtanganyika mwenzetu, hastahili hilo waliomtendea, anastahili haki hata kama amekosa, aadhibiwe kwa kadiri ya kosa alilofanya.
Soma pia Nabii Tito akamatwa na Polisi Dar