Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Ndivyo walivyokuwa wakimwita Rais Moi. Au mzee wa nyayo. Yaani footsteps.Kama alikuwa anatumia neno Mtukufu, alikuwa anakosea sana. Utukufu ni wa Muumba Pekee
Shukrani kwa taarifa mdau.Huyo anaitwa Leonard Mambo Mbotela ambaye baada ya kustaafu KBC sasa anatangaza redio moja inaitwa Radio Citizen.