Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Kwa mlioko huko kenya, huyu jamaa yupo wapi kwa sasa. Najua kwa sasa kama atakuwa bado mzima atakuwa mstaafu.
Alitamba na kipindi chake cha je huu ni uungwana miaka ile ya 1980. Kikirushwa kila jumapili saa 3 ahsubuhi.
Jamaa alikuwa vizuri. Hata kwenye kutangaza taarifa ya habari. Utamsikia.... Mtukufu Rais Daniel Arap Moi leo amesali katika kanisa la kasarani. Kwenye ibada iliyoongozwa na padri Onyango.