Yupo wapi Andrew Chenge?

Watakosaje kuishi kwa anasa na baba yao ameiba fedha yote ameificha DUBAI!!! Ndio kisa cha kuogopa katiba mpya kwani yaliyompata Zuma kule bondeni na yeye yangempata !!! Anafikiri wabongo wajinga hawajui kuwa ananyumba amenunua huko Dubai!!!
Yule amejiweka top na yeye ndio anazuia katiba mpya. Hawa kuna siku tu inakuja yote yataisha japo kwasasa atapambana kila rais awe kibaraka wake.

Taasisi zetu ni dhaifu sana kwasababu kila mtu anaangalia ulaji wake. Watu wa kwenye security agencies wengi wapo kwa maslahi yake hivyo anajilia atakavyo na analindwa.
 
Hivi sasa anapigana ili OTHMAN aliyekuwa mkuu wa TISS enzi zake arudi tena kwenye ile nafasi!!!
 
Yupoo ametuliaaa anakulaa maishaa hana presha ya vtu vidogoo,vip ww maishaa unakulaa au yanakukulaa mkuuu!!!!!
 
Hivi sasa anapigana ili OTHMAN aliyekuwa mkuu wa TISS enzi zake arudi tena kwenye ile nafasi!!!
Duh! Niliona mtu kaandika kuwa alimuona kijitonyama hivi karibuni. Ila si alishavuka 60 na atakuwa kwenye 65 saa hizi?
 
Duh! Niliona mtu kaandika kuwa alimuona kijitonyama hivi karibuni. Ila si alishavuka 60 na atakuwa kwenye 65 saa hizi?

Nchi hii kila kitu kinawezekana; wewe hushangai Kinana kurudi baada ya kuaga kuwa alikuwa amechoka angekwenda kucheza na wajukuu zake?
 
Nchi hii kila kitu kinawezekana; wewe hushangai Kinana kurudi baada ya kuaga kuwa alikuwa amechoka angekwenda kucheza na wajukuu zake?
Suluhisho ni kumalizana na huyu godfather wao la sivyo wanazidi kuota mizizi.
 
Nchi hii kila kitu kinawezekana; wewe hushangai Kinana kurudi baada ya kuaga kuwa alikuwa amechoka angekwenda kucheza na wajukuu zake?

Watu watakuwa wanarudishia spares ndivyo sivyo na engine ikiwashwa unakuta chombo kina breakfires na missi za kutosha kikiingia barabarani mwendo wa kobe Nzee.
 
Watu watakuwa wanarudishia spares ndivyo sivyo na engine ikiwashwa unakuta chombo kina breakfires na missi za kutosha kikiingua barabarani mwendo wa kobe Nzee.
Inashangaza gari imeharibika unaenda stoo kuchukua spea uliyoitoa katika gari zamani.
 
Inashangaza gari imeharibika unaenda stoo kuchukua spea uliyoitoa katika gari zamani.

Khalafu spare zenyewe ni spark plugs zilishapigwa kutu ya kutosha unahitaji msasa na mafuta ya taa kuzisafisha au fuel/ injector pump. Lazima ukutane na missi za kutosha. Gari mwendo unakuwa goigoi.
 
Uwe mwaminifu hivyo na Mungu atakusaidia. Chenge ni jambazi mkubwa! Ila watz wapumbavu wanasema ni mjanja kumbe amewaibia Sana!
Kweli kabisa mkuu, tukipata fursa ya kutumikia wengine basi tuwe waaminifu na mafanikio ni ya uhakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…