Uponyaji na uzima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 666
- 1,255
- Thread starter
- #21
Yule amejiweka top na yeye ndio anazuia katiba mpya. Hawa kuna siku tu inakuja yote yataisha japo kwasasa atapambana kila rais awe kibaraka wake.Watakosaje kuishi kwa anasa na baba yao ameiba fedha yote ameificha DUBAI!!! Ndio kisa cha kuogopa katiba mpya kwani yaliyompata Zuma kule bondeni na yeye yangempata !!! Anafikiri wabongo wajinga hawajui kuwa ananyumba amenunua huko Dubai!!!
Taasisi zetu ni dhaifu sana kwasababu kila mtu anaangalia ulaji wake. Watu wa kwenye security agencies wengi wapo kwa maslahi yake hivyo anajilia atakavyo na analindwa.