Yupo wapi Andrew Chenge?

Khalafu spare zenyewe ni spark plugs zilishapigwa kutu ya kutosha unahitaji msasa na mafuta ya taa kuzisafisha au fuel/ injector pump. Lazima ukutane na missi za kutosha. Gari mwendo unakuwa goigoi.
Ni kweli kabisa mkuu. Watu wanapeana kwa kuzoeana na matokeo yake hakuna tija. Wazee ambao bado wana fikra za miaka ya 70 wanataka waendelee karne hii.

Wanakuwa resistant to genuine changes. Nchi inazidi kuwa slow.
 
Angalau atakuwa anachangia ujenzi.
Watakosaje kuishi kwa anasa na baba yao ameiba fedha yote ameificha DUBAI!!! Ndio kisa cha kuogopa katiba mpya kwani yaliyompata Zuma kule bondeni na yeye yangempata !!! Anafikiri wabongo wajinga hawajui kuwa ananyumba amenunua huko Dubai!!!
Ninawaonea huruma hao watoto, hawajaandaliwa na mapambano ya dunia na hela yenyewe wanayo jitanua nayo ina laana maana ni pesa ya watu masikini sana. Fikiria wanaolala nyumba mbovu, wasio na maji salama ya kunywa nk
 
Labda watategemea jina la mzee lakini akipatikana atakayeamua kuziba mirija wale wataishia pabaya sana.
 
Ninawaonea huruma hao watoto, hawajaandaliwa na mapambano ya dunia na hela yenyewe wanayo jitanua nayo ina laana maana ni pesa ya watu masikini sana. Fikiria wanaolala nyumba mbovu, wasio na maji salama ya kunywa nk
Dunia haiku hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…