Uponyaji na uzima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 666
- 1,255
- Thread starter
- #41
Ni kweli kabisa mkuu. Watu wanapeana kwa kuzoeana na matokeo yake hakuna tija. Wazee ambao bado wana fikra za miaka ya 70 wanataka waendelee karne hii.Khalafu spare zenyewe ni spark plugs zilishapigwa kutu ya kutosha unahitaji msasa na mafuta ya taa kuzisafisha au fuel/ injector pump. Lazima ukutane na missi za kutosha. Gari mwendo unakuwa goigoi.
Wanakuwa resistant to genuine changes. Nchi inazidi kuwa slow.