Yupo wapi Andrew Chenge?

Yupo wapi Andrew Chenge?

Kwakweli ni vizuri kutenda haki. Inadumu vizazi hadi vizazi.
Utawala wa haki umewezesha Ulaya kusambaza maji majumbani na kujenga nyumba za serikali kwa wasio na uwezo wa kununua lakini raia wote wanaishi maisha bora. Kukiwa na haki na sisi tunaweza kufika huko.

Maji yaliposambazwa majumbani yalipunguza magonjwa mengi kama matumbo ya kuhara na ilikua rahisi kuhimiza watu wawe wasafi.
 
Huku kwetu tunahitaji katiba mpya. Watu waliopo madarakani hawaoni mbali. Uzuri wa mfumo wa haki unamnufaisha kila mtu anayejituma. Hata wao na vizazi vyao watanufaika kwasababu tayari wanayo advantage ya kuwa ahead.

Ubinafsi unaliangamiza taifa na hasa jamii ambazo ni maskini sana. Fikiria idadi ya watoto na akina mama wanaokufa wakati wa kujifungua na vipaji mbalimbali vinavyopotea kwa kukosa fursa nzuri ya elimu kwasababu ya umasikini.
 
Sijamsikia siku za hivi karibuni huyu mbunge, mwanasheria mkuu na mwenyekiti wa bunge mstaafu.

Kwakweli nakuwa nervous kiasi maana huyu akikaa kimya basi ujue kuna kinachoendelea huko.

Kipindi hiki watu wanarudi zao tutashangaa tu tushapigwa tukio.
Toka azuiwe kugombea USPIKA mzee kasalimu AMRI
 
Huku kwetu tunahitaji katiba mpya. Watu waliopo madarakani hawaoni mbali. Uzuri wa mfumo wa haki unamnufaisha kila mtu anayejituma. Hata wao na vizazi vyao watanufaika kwasababu tayari wanayo advantage ya kuwa ahead.

Ubinafsi unaliangamiza taifa na hasa jamii ambazo ni maskini sana. Fikiria idadi ya watoto na akina mama wanaokufa wakati wa kujifungua na vipaji mbalimbali vinavyopotea kwa kukosa fursa nzuri ya elimu kwasababu ya umasikini.
Kwanza bomu tunaloliandaa ni kizazi cha wasio jua kusoma na kuandika kinaongezeka. Kule vijijini shule moja ina wanafunzi 2,000 na walimu wanne. Darasa moja lina watoto 100. Mradi katika siasa wanasema wamejenga shule.

Wanafunzi wanakwenda shule kuepuka maisha ya kwenda shambani asubuhi na wazazi wao lakini kama unaju kusoma au hujui ni juu yako. Mwalimu hana uwezo wa kutambua uwezo wa watoto 2,000.
 
Prof Lumumba aliwahi kusema free education is free indeed, free of knowledge.

Shule za kata wenyewe wanajivunia idadi ya wanaingia sekondari bila kujali kama wanaelimika.

Tulikuwa na shule nyingi sana kongwe ambazo tayari zilikuwa model na zilifanya vizuri miaka hiyo kama kibaha, mzumbe, ilboru, tabora, ifunda etc. Ilitakiwa ku replicate ile model. Wao wameleta ingizo jipya la shule yenye vyumba vinne. Hakuna walimu, hakuna maabara, hakuna library.

Watoto wao wanapeleka Cambridge curriculum.
 
Hizi shule zinajengwa kama Voda fasta kwa sababu za kisiasa, mradi wakati wa kampeni waseme tumejenga shule na kuweka kwenye takwimu zao za kuombea misaada.

Shule hazina plan ya viwanja vya michezo wala bustan za kufundishia kilimo.
 
Hizi shule zinajengwa kama Voda fasta win kwa sababu za kisiasa, mradi wakati wa kampeni waseme tumejenga shule na kuweka kwenye takwimu zao za kuombea misaasa.

Shule hazina plan ya viwanja vya michezo wala bustan za kufundishia kilimo.
Yaani ni tafrani za kisiasa tu. Elimu haikutakiwa kufanyiwa majaribio kwa namna wanavyofanya.

Tuendelee kuwaelimisha umuhimu wa katiba mpya.
 
Yule mzee anataka kizazi chake chote kidumu kwenye utajiri wa milele. Ukiona watoto wake wanavyoishi kwa anasa huko Dubai huwezi kuamini.
Ana watoto wa ngapi na mfano mtoto yupi anakula maraha dubai?
 
Yupo kaja tele hapendi mambo ya uchawa....

Ova
 
Back
Top Bottom