Baharia Mahaba
Member
- May 1, 2022
- 26
- 25
🤣🤣🤣🤣 Aiseee!Sema nini..
Yule Askofu injili zake za miaka ya nyuma (nyingi nilikua naziskia kwenye radio cassette ya Mshua) zilikua ni balaa,,
Yaani anakemea hadi unasema naacha dhambi😬😬
Nilimheshimu na kumpenda sana askofu Kakobe ila Jiwe alimvurugia kila kitu... now kawa mtu wa hovyo sana.Mwendazake alivunjilia mbali misimamo yake ya imani akamgeuza kuwa chombo chake cha sifaa
Kwenye suala la imani ukiharibiwa msimamo wako nawe ukatikisika...kusimama upya huwa ni kazi ngumu.Nilimheshimu na kumpenda sana askofu Kakobe ila Jiwe alimvurugia kila kitu... now kawa mtu wa hovyo sana.
Yupo Ulaya anatumia zile pesa zenu mlizomjazia miaka nenda rudi.Habari zenu nyote!
Kama kichwa cha habari kilivyouliza, Naendelea kuuliza yuko Baba yetu, Jasiri aliyekemea dhambi bila kificho na kujitengenezea maadui wengi kwa kuupigania Ukristo na utakatifu???
Mara ya mwisho alionekana akiwa na mpendwa wetu aliyetutoka late rais magufuri. Baada ya hapo hajaonekana tena.
Injili ya kanisa imepoa sana, despite kuwa na wingi wa matukio lakini ukimya wake ni pigo kubwa kwa injili Tanzania na duniani kote.
Mimi si muumini wake, lakini injili yake nimekuwa naiishi na imenileta karibu zaidi na Mungu kwa miaka mingi sana...
Tafadhari KWA WEMA kabisa, Tujuzane alipo Askofu wetu huyu.
Ahsante.
Acha wivu na wewe anzisha kanisa lako.Alishapata hela za kutosha toka kwa waumin wake wasiojitambua, sasa anaishi kwa raha zake mwenyewe akisomesha wanawe kwa hela alizokuwa anapewa na mazezeta wake.
Naamin Mungu tu sitaki kuroga watu kama hawa wachungaji wenu wa kisasaAcha wivu na wewe anzisha kanisa lako.
Na wewe unako sali na kutoa sadaka..viongozi wako wanakuona hujitambui.Alishapata hela za kutosha toka kwa waumin wake wasiojitambua, sasa anaishi kwa raha zake mwenyewe akisomesha wanawe kwa hela alizokuwa anapewa na mazezeta wake.
Kakobe nimeanza kumsikia tangu niko primary miaka ya 1990's. Ni wazi amefanya kazi kubwa sana.Sema nini..
Yule Askofu injili zake za miaka ya nyuma (nyingi nilikua naziskia kwenye radio cassette ya Mshua) zilikua ni balaa,,
Yaani anakemea hadi unasema naacha dhambi😬😬
Unakuta hekalu lina vyumba kumi.Kakobe kwa sasa yupo zake ametulia kwenye hekalu lake pale Mbezi beach huku akila kuku kwa mrija kwa pesa kutoka kwenye kanisa lake pale Mwenge.
Magufuli alimnyoosha hadi akaunga mkono juhudi. Hapo ndipo na mm nikajisema kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chaiKakobe kwa sasa yupo zake ametulia kwenye hekalu lake pale Mbezi beach huku akila kuku kwa mrija kwa pesa kutoka kwenye kanisa lake pale Mwenge.
[emoji23][emoji848]Mwendazake alivunjilia mbali misimamo yake ya imani akamgeuza kuwa chombo chake cha sifaa
Wanafikiri ni rahisiAcha wivu na wewe anzisha kanisa lako.
Au nasema uongo binti sayuni?[emoji23][emoji848]
Najitambua na ndiyo maana siendi kanisani wala msikitiniNa wewe unako sali na kutoa sadaka..viongozi wako wanakuona hujitambui.
#MaendeleoHayanaChama