ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Ana umri mkubwa 80+ sijui yupo wapi au karudi Jamaica?Huyu rasta Baba T,sikunyingi hasikiki nilikuwa na kutana nae Sana mitaa ya mwenge miaka ya 2015~~~2018.
Nadhani sasa atakuwa anakimbilia miaka 83+
Kuna ile jingle inasema " East Africa, Baba T deh mi a tel yuh""Lover's rock with Baba T"..
Kuna ile jingle inasema " East Africa, Baba T deh mi a tel yuh"
Umenikumbusha TK na Abba kipindi cha 5 grooveWapi
Lotus
Kitenge Juke Box
Abba
TK
Yule model aliyeonekana kwenye wimbo wa TID(Siamini) alikuwa mtangazaji wa Channel 5(Now EATV).
Umenikumbusha TK na Abba kipindi cha 5 groove
Ameacha kazi EA RADIO?Baba T yuko Boko hapo ana blaze tu
Hizo ni nyakati bora sana kwenye maisha yangu nlikua na ishi na watu nnao wapenda kabla ya kifo hakija tutenganishaHahaha una kumbukumbu kubwa sana 5 Groove - Channel 5.
Abba huyu huyu producer ama kuna mwingineUmenikumbusha TK na Abba kipindi cha 5 groove
Sio huyo mkuuAbba huyu huyu producer ama kuna mwingine
Ahsante kwa ufafanuziSio huyo mkuu
Abba One alikua brother man flan hivi , pia kulikua na jamaa anaitwa MC NapoAbba huyu huyu producer ama kuna mwingine
Tegeta NyaishoziBaba T yuko Boko hapo ana blaze tu