Mwaga mboga tupe waliotegwa na kuingia kunaswa na mtego wa ibilisi...
Ni Upendo kilahiro sio shusho
walitoa albamu ay pamoja ile ya kwanza yenye nyimbo za tenzi,siikumbuki jina la albamu ila ilivuma sana,mdada akasepa na mauzo na kujifanya albamu ni yake peke yake,wakati aliyenogesha albamu hasa alikuwa ni upendo kilahiro,baada ya hapo hakutoa tena albam iliyohiti,
ukiangalia kwaya ya shangilieni albamu ya kwanz ile ya video nyimbo kama ''Hivi vita vimekoma'' utashangaa huyu dada alivyokuwa smat,na alikuwa na haiba ya mke wa mtu . lakini sasa ana haiba ya mwanamke wa ambiance ,jolly club au kimboka kama sio sewa bar buguruni.Pole yake Muhone muha wa watu.Hapa wimbo wa Luck dube is ''not easy'' unaapply
Alikuwa anamdharau mume wake na kumuona kama takataka hadi mumewe akapoteza mvuto kabisa akakonda vibaya sana.
ok sasa nimeelewa
naona mwezie Upedo anafanya vyema sana
Mpaka sasa Mume wake bado yupo yupo tu, na kibarua alichokuwa anakifanya kumuendesha mmama mmoja wa UNICTR kiliisha, huyu dada sijui nimeanzie wapi aisee, anampitisha mume wake kwenye maisha magumu sanaaa, na kuanzia alivyouzaga nyumba alizokuwa amejenga ilboru naona pesa zimeisha na yeye akapotea kabisa kwenye game, na aliondoka kwenye kwaya ya Shangilieni kwa nyodo/dharau zote.
alikua hamuheshimu kabisa mumewe,alikua anamdrig kama punda,yani alikua hawezi kutulia kwenye ndoa wala kubeba majukumu kama mke
Duuuu...maskin frola amesabaisha waimbaj wa injili waanze kuchambuliwa..akitoka Beatrice sijui atafuata nan..
Mwenzangu, alikuwa anamdharau mumewe hatar, nasikia wameachana na mume wake ni dereva teks, na huyo muhone anahangaikaga tu mara dar mara arusha, na kanisan walitengwa
Kwaya ya shangilien naipenda, mule angalau alikuwa anaonekana kwel mlokole maana magaun aliyokuwa akivaa ya kishamba hatar, ile kwaya ilikuwa kiboko bwana.
Mwenzangu, alikuwa anamdharau mumewe hatar, nasikia wameachana na mume wake ni dereva teks, na huyo muhone anahangaikaga tu mara dar mara arusha, na kanisan walitengwa
Upendo Nkone
dont tell me,yani yule mumewe ni mpole sana,sasa kama wameachana kwa nini anaendelea kutumia ubini wa mume wake? MUHONE ni jina la mumewe
Bado ipo vizuri sana, wanarekodi album yao mpya kwa sasa, aliwadharau kuanzia viongozi mpaka waimbaji wenzie akiwepo mume wake, hata kumuonyeshea adabu ya kinafiki wakiwa kwaya ilikuwa tabu, pesa mwanaharamu kabisa, yuko wapi leo hii? na Mh alimtema chaaaap ilivyoanza kuvuma, mxsiii unaharibu ndoa yako na kutembea na mtu mwenye pesa za kumwaga hujafanya la maana mpaka kufikia kuuza na nyumba.
Bado wanaishi pamoja kimandolu, lakini ya ndani ni kwamba kila mtu na ustaarabu wake, Beatrice ndio alikacha Kanisani baada ya zile nyodo, Mume wake bado anapiga kwaya kama kawaida.
MMh, nilisikia wameachana mdaaa sana, sasa kama wamerudiana tena huyo mwanaume bas kibok
Labda kwa humo ndani mwao wameachana(mambo ya ndani) lakini kwa nje bado wanaishi pamoja kimandolu.
yaan kwenye ile nyimbo ya nuhu beatrice aliimba vizur had kesho naifagilia ile album ya shangilien, dah wanatisha sana st james, wako vizur sana, uyo beauty ndo kacharuka siku iz tu, na nasikia ana vihela hela sijui anagongwa na nani sasa iv