Yupo wapi Betrice Muhone

Yupo wapi Betrice Muhone

"Nuhu alifanya kama vile alivyo agizwa na bwanaaa....." japo nilikua mdogo kipindi kile cha huu wimbo but nilijua kua beatrice ni mzuri na nilikua nasema "wakubwa wanamfaidi sana huyu dada"
 
Nope siye!Wamefanana tu
Mimi namfananisha na huyu. msanii. wa. bongo movie, sijui. Jack Wolper, naye chimbuko A town na alikuwa bega kwa bega na mgombea urais mmoja 2015 kipindi cha uchaguzi
 
Jmn huyu dada nlkua nampenda sana pa1 na nymbo zake 'habari njema'!
 
Kila mmoja anaweza kuanguka dhambini. La msingi ni kukiri dhambi yako na kufanya toba ya kweli na Mungu wa Mbinguni anasamehe kabisa.
 
Asie na dhambi kati yenu mnaemwona Muhone kama mdhambi namba moja, na awe wa kwanza kurusha jiwe.
 
"Nuhu alifanya kama vile alivyo agizwa na bwanaaa....." japo nilikua mdogo kipindi kile cha huu wimbo but nilijua kua beatrice ni mzuri na nilikua nasema "wakubwa wanamfaidi sana huyu dada"
yap, wakati ule alikuwa mshamba hajui make up wala kupiga pamba ila uzuri wake haukujificha, yule mwanamke ni kifaa, ile nyimbo ilikua poa sana, yani unahis raha flan hivi kusikiliza, walikua wana heshima mpaka mtu uwepo unashuka, ila nyimbo za sasa hiv mhh
 
abiudi misholi alishaimbaga

shetani nae wa kwanza kuimba lakini pia alirudi nyuma
 
Back
Top Bottom