Watakuwa wanapeana tu, kwan midoli ile, sena beatrice alikuwa mzur sema umalaya sasa
Mpaka sasa ni mzuri sana!
Analitumia au watu ndo wanalitumia??, muhone alikuwa muhuni na mwiz, kuna kampuni moja alikuwa anafanyia arusha njiro, alikuwa anaiba had mapazia ,na karibia wafanyakaz wote kashatembea
Binamu hujambo?
Sijambo binamu, za wewe??
Binamu mi nipo napumulia mashine... hizi habari zinanitisha
Ndo mambo ya watumish wa mungu, sasa sijui sisi wa dunia tufanye dhambi gani, maana dhambi zote hatar wanazo wao
Binamu kumbe nna dhambi chache Sana.....mmh watu wametisha
Maana walokole wanafanya dhambi nzito mpaka sisi wapagani tunajiona watakatifu, hii hatar sana
Mwenzangu, alikuwa anamdharau mumewe hatar, nasikia wameachana na mume wake ni dereva teks, na huyo muhone anahangaikaga tu mara dar mara arusha, na kanisan walitengwa
Mwaka jana kwaya ya shangilieni ilifanya uinjilisti kanisani kwetu huku mkoa, mume wa Beatrice alikuwepo kwenye msafara though Beatrice hakuwepo
Yupo wapi mwanamuziki wa injili machachari Beatrice Muhone? Sijamsikia long tym
Duuuu...maskin frola amesabaisha waimbaj wa injili waanze kuchambuliwa..akitoka Beatrice sijui atafuata nan..
Si nasikia aliondoka kwa dharau, st james ni kiboko ile album ya shangilien na silaha ya ushindi
Christina Shusho nasikia naye ana mambo yasiyo elezeka..
Christina Shusho nasikia naye ana mambo yasiyo elezeka..
Nitaipataje..??
Yupo wapi mwanamuziki wa injili machachari Beatrice Muhone? Sijamsikia long tym