Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Mimi namfananisha na huyu. msanii. wa. bongo movie, sijui. Jack Wolper, naye chimbuko A town na alikuwa bega kwa bega na mgombea urais mmoja 2015 kipindi cha uchaguziNope siye!Wamefanana tu
yap, wakati ule alikuwa mshamba hajui make up wala kupiga pamba ila uzuri wake haukujificha, yule mwanamke ni kifaa, ile nyimbo ilikua poa sana, yani unahis raha flan hivi kusikiliza, walikua wana heshima mpaka mtu uwepo unashuka, ila nyimbo za sasa hiv mhh"Nuhu alifanya kama vile alivyo agizwa na bwanaaa....." japo nilikua mdogo kipindi kile cha huu wimbo but nilijua kua beatrice ni mzuri na nilikua nasema "wakubwa wanamfaidi sana huyu dada"