Yupo wapi Bonta Maarifa?

Yupo wapi Bonta Maarifa?

Huyu jamaa ni CO(Clinical officer) na sio MD kama watu wanavyodhani ama kujua,yupo Kahama hospital,mara ya mwisho nilimuona Mzumbe na baada ya kuulizia niliambiwa anafanya BHSM hapo Mzumbe,ni matumaini yangu alishamaliza na anasubiri teuzi tu
 
Huyu jamaa ni CO(Clinical officer) na sio MD kama watu wanavyodhani ama kujua,yupo Kahama hospital,mara ya mwisho nilimuona Mzumbe na baada ya kuulizia niliambiwa anafanya BHSM hapo Mzumbe,ni matumaini yangu alishamaliza na anasubiri teuzi tu

Who cares?

As long as anafanya kazi hospitali sisi tunajua ni dokta tu.
 
Mkuu daktari ni mwenye Degree,huyu bonta kwa kiswahili sahihi tunamwita Tabibu
Tabibu ni Clinician kwa kingereza, na clinical officer ni afisa tabibu kwa kiswahili, sasa ujue hata doctor ni tabibu pia


The word clinician is often used simply to mean "doctor," but it applies to any health professional who works one-on-one with patients, diagnosing or treating illness. A clinician might be a physician or nurse, a psychologist, or a speech-language pathologist

 
Huyu Mwana HipHop alitamba sana na ngoma kama Matusi, Watu Buu, Nauza Kura Yangu

Muda sana sijamsikia kwenye gemu kwa mwenye taarifa zake wadau au ameacha mziki?
Ni bora aliyeathirika kuliko anayeambukiza ipo siku utanielewa huu mchezo nikimaliza...mwanamke mzuri kama hauna skills ni sawa na almasi kwenye pua ya nguruwe....kama elimu ni gharama fikiri kuhusu ujinga....viva maarifa.
 
Jamaa yupo pande za Kahama, ni daktari huko so kuchanganya muziki na kazi nadhani imekuwa ngumu ameamua kukaza kwenye udaktari japo anagusagusa kidogo muziki, kipindi cha Uchaguzi wa Urais, Ubunge na Madiwani alichukua fomu sema walimpiga chini
Daktari? Bonta si mwalimu jama
 
Back
Top Bottom