yupo wapi CAZ-T mwana wa komba

yupo wapi CAZ-T mwana wa komba

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
4,664
Reaction score
9,929
Habari zenu wadau wa burudani

Team kiba na team diamond naomba mtupe nafasi kidogo maana naimani wengi wenu hamjui uyu mtu ila kwa tarifa yenu kuna wasanii walishafanya makubwa uko nyuma sema teknolojia na connection hazikuwa kubwa kama Leo hii hivyo kazi zao ziliishia kapuni

Jamani Leo nimemkumbuka uyu kijana wa kingoni Caz T mwana wa komba aliyesumbua miaka ya 2000 mpaka 2002 na vibao vyake kama one more chance, sister due kapika ugali mmibichi, na funga kazi ulikuwa wimbo wa nakuitaji, pamoja na ablam yake iliyokuwa na nyimbo kama tuvumiliane nk.

Naomba kujua alipo uyu jamaa kwa sasa Mara ya mwisho niliambiwaga baada ya mauzo ya ablam ya Nakuitaji alifanikiwa kujenga maeneo ya ukonga makaburini

Naulizia kwa sababu kapotea kabisa haya kwenye interview simsikii kwenye matukio mbali mbali ya burudani nk haonekani

Yupo wapi uyu jamaa
 
Back
Top Bottom