Yupo wapi Dennis Kitambi?

Yupo wapi Dennis Kitambi?

masare

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
1,791
Reaction score
1,830
Baada ya Simba kufanya mabadiliko ya benchi la ufundi mwaka jana ambapo Patrick Aussems alitemwa, Dennis Kitambi aliyekua Kocha Msaidizi sikusikia hatma yake.

Je, anafanyia wapi kwa sasa kazi yake ya ukocha wa mpira?

afc-leopards-coach-dennis-kitambi.jpg
 
yaani simba ni genge la matapeli, walimtoa azam kwa mbwembwe kweli kweli kisha wakamfukuza kimtindo kwa kusema anaenda kusoma 'abroad'
 
yaani simba ni genge la matapeli, walimtoa azam kwa mbwembwe kweli kweli kisha wakamfukuza kimtindo kwa kusema anaenda kusoma 'abroad'
Una uhakika simba walitoa azam au kiherehere chako cha kukimbilia kupost
walimtoa ndanda ww Denis kitambi hajawahi kuwa kocha azam
Alikuwa kocha msaidizi Azam fc.
Wakati anajiunga Simba sio kwamba alitokea Gor Mahia ?

Ingawa alipita huko Azam na Ndanda
 
Back
Top Bottom