Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiswahili hicho kimekaa kimkiamkia.....tehtehteh a joke pleaseHajapata pa kuonekania
Jitokeze hadharani unatafutwaKiswahili hicho kimekaa kimkiamkia.....tehtehteh a joke please
Una uhakika simba walitoa azam au kiherehere chako cha kukimbilia kupostyaani simba ni genge la matapeli, walimtoa azam kwa mbwembwe kweli kweli kisha wakamfukuza kimtindo kwa kusema anaenda kusoma 'abroad'
walimtoa ndanda ww Denis kitambi hajawahi kuwa kocha azamUna uhakika simba walitoa azam au kiherehere chako cha kukimbilia kupost
Alikuwa kocha msaidizi Azam fc.walimtoa ndanda ww Denis kitambi hajawahi kuwa kocha azam
Alienda masomini ( kusomea mambo ukocha( mpira ) ebu google huku utapata taarifa
Sent using Jamii Forums mobile app
yaani simba ni genge la matapeli, walimtoa azam kwa mbwembwe kweli kweli kisha wakamfukuza kimtindo kwa kusema anaenda kusoma 'abroad'
Una uhakika simba walitoa azam au kiherehere chako cha kukimbilia kupost
walimtoa ndanda ww Denis kitambi hajawahi kuwa kocha azam
Wakati anajiunga Simba sio kwamba alitokea Gor Mahia ?Alikuwa kocha msaidizi Azam fc.