Yupo wapi Deogratias Kisandu

Kuna uzi alidai ni mwalimu....nendeni shule aliyokuwa anafundisha mtapa majibu kuna kipindi alihamia Daslam.
 
Jamaa alikuwa kama anashida kichwani,Huo ualimu aliupataje ?
Au Network ilipotea baada ya kuajiriwa?
Kabla ya hapo Jamaa alikuwa timamu kabisa ila alivyoanza kujiingiza kwenye siasa tu mambo yakaanza kubadilika kidogo kidogo sijui ni nini kilimkumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…