Yupo wapi Deogratias Kisandu

Yupo wapi Deogratias Kisandu

Nimemkumbuka huyu jamaa ,Kuna kipindi nilidhani anajielewa nikamfuata PM ili tufanye biashara kwenye mziki wake ,Sasa kwenye maongezi nikaona hamna kitu .

Si siku moja jioni sana asinicheki aanze kunichimba biti kunipeleka mahakamani eti nimemtesa kisaikolojia na kihisia kisa kumpa ahadi isiyotimia 😃😃

Nikamlima block kubwa Ila alikuwa anapiga kwa namba ngeni kila akinikumbuka nikawa sipokei na mwisho akapotea mazima
 
Back
Top Bottom