Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Kisandu a.k.a Civilian Coine ana mipango mingi mno yule bwana mkubwa.Mbona utani mtupu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisandu a.k.a Civilian Coine ana mipango mingi mno yule bwana mkubwa.Mbona utani mtupu?
Mrs GuedeHakuwa amezaliwa kabisa huyo mrs. Mwashambwa.
Deo ni mwehu. Ngoja niingie youtube nisikilize ngoma zake.Kesi Kama hii inaonesha jinsi system ilivyokuwa against deogratias KisanduView attachment 3047962
Alienda Marekani kwa mtoto wa Obama (Maria Obama)Wakuu.
Nimemkumbuka Sana huyu mwamba,,.
Nina muda mrefu sijamuona jamvini ..
Mwenye taarifa zake tafadhari.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Chuki tu za CCM
DEO alishawah kulalamika kwamba haki yake ya kujaamiana imeporwa.
Kama ni hivyo basi Askari Magereza watampa muongozo.
ChaiBado yupo jela Kahama, alitaka muua mama yake mzazi.
Kazi ya ualimu aliachaKuna uzi alidai ni mwalimu....nendeni shule aliyokuwa anafundisha mtapa majibu kuna kipindi alihamia Daslam.
🤣🤣🤣🤣🤣Kesi Kama hii inaonesha jinsi system ilivyokuwa against deogratias KisanduView attachment 3047962
Aliacha kazi mwenyewe na barua aliituma humu.Alishafukuzwa kitambo sana nafikiri ni kile kipindi cha Magufuli
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimecheka sana🤣🤣🤣 ilisomwa mahakamani hii ?
Kisandu alikuwa Tunu ya Taifa😂 hilo neno Mb*ro sijui alifikilia nini🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sisahau mrejeshoNtaulizia taarifa zake kwao Nyihogo-Kahama.Huyu home boy wangu.