Yupo wapi Eddy Sultan?

Sele Mkonje

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
643
Reaction score
845
Habari za Ijumaa nduguz
Kuna huyu jamaa alikuwa anatangaza Kipindi cha watoto wetu cha ITV miaka hiyo ya 90's hadi 2000's. Kuna kipindi tulimuona kwenye magazeti akiwa kavalia nguo za kirubani bt bado alikuwa mdogo sana. sasa sijui kwa sasahivi yupo wapi.? Tuliokuwa watoto enzi zile tulikuwa tunamkubali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…