Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Eddy Itakuwa kalishwa limbwata na huyo mdada ili amuoe kwa nguvu.Mwenzangu binamu bora umeliona, ebu tupige umbea vzur, looh sio kwa sura ile jaman halafu anaonekana mkubwa, huyo Eddy na uzur wote ule jaman kaenda kuoa jimama mwee sijui dawa jaman, looh hapana, lazima tuvunje ndoa yake binamu akaoe kabint kazuri zur, ntaandaa kampen jaman, hapana kwa kwel
Maana sura yake kama ana udugu na Open Kitchen.
Na kile kipini ndo kaharibu.
Au kafata LIVE IT!! LOVE IT!!?
Maana huko nao hawajambo, shikamoo marahaba.