Yupo wapi Eddy Sultan?

Yupo wapi Eddy Sultan?

Aiseeeeee kweli beauty is in the eye of beholder, nikimcheck yule mke wake alivyo aiseeeee lazima alipumbazwaaa kijana eddy, inakuwaje Jamaa kaiweka fasta private account yake ya insta.
Mkuu
Mtazame Eddy katika paji la uso kisha mtazame mkewe kimavazi..... You will find out why wamefikia hatua ya kuwa mke na mume....
 
Mkuu
Mtazame Eddy katika paji la uso kisha mtazame mkewe kimavazi..... You will find out why wamefikia hatua ya kuwa mke na mume....
Sioni sbb ya udini imewafanya hvo maana eddy namkuta mara nyingi rhapsody,east24, samaki etc akigigida heiniken aisee this shows jamaa si mtu wa dini kivile
 
Sioni sbb ya udini imewafanya hvo maana eddy namkuta mara nyingi rhapsody,east24, samaki etc akigigida heiniken aisee this shows jamaa si mtu wa dini kivile
Unaweza kuta ni trip moja bar moja masjid... I only know that woman.
 
Mmh kwakwel hapo ndio naamini unaweza ukawa una pesa, handsome ila tunasahau kumbe kuna limbwataa, ukajikuta umependa demu mbovuu
 
Watu wanamkandia uyo mwanamke.mbona sioni ubaya wake.
Au kujisitiri mwili wake ndio ubaya wake?au kutojichubua ndio ubaya wake?hizi akili mbovu kabisa,jamaa yupo sahihi huyo ndio wife material sio mwanamke wa kuumizana kichwa.
Uyo mwanamke anatukuza uasilia wake naamin lait kama angejichubua kwa mtazamo wenu ndio mngemuona ni mzuri
Acheni kuwaharibia wenzenu ndoa zao unajisikiaje pale unapokuwa sababu ya wanandoa kuachana.
Ninyi mnaojichubua mpo after money tu hamna upendo wa dhati mtu akifulia tu mnatafta sababu myachwe mkatafte wanaume wengine,muacheni dada wa watu afurahie ndoa yake hayo ya ubaya au uzuri hayawahusu.
 
Aiseeeeee kweli beauty is in the eye of beholder, nikimcheck yule mke wake alivyo aiseeeee lazima alipumbazwaaa kijana eddy, inakuwaje Jamaa kaiweka fasta private account yake ya insta.
Hapo ndo Utajua nguvu ya Jamiiforums. watu kibao wanapitia huku kuchungulia wats going on.?
 
Back
Top Bottom