Yupo wapi Eddy Sultan?

Inawahusu nini familia Za watu umbea tu au ulikataliwa. Na Eddy mke mbaya awe mzuri Ni wake
Nimetokea kuwadharau sana baadhi ya wadada wa humu,hata kama ni umbea sio kiivyo uyo mwanamke kama angeamua kujichubua angefanya hivyo,nilichomkubali mim kaamua kubaki ktk hali yake halisi aliyoumbwa nayo.
Hao wote wanaishabikia waangalie picha zao za miaka kumi iliyopita walikuwa vipi na sasa wapo vipi?
Mwenzenu ana ndoa ya zaid ya miaka mitano wakati nyie mkiolewa mkitoboa miezi sita mpo ndani ya ndoa ndugu zenu hawaamini.
Badilikeni wadada muwe na staha hukujiumba wew aliekuumba wew mzuri ndio kamuumba mwenzako kwa namna yake.
Hii dunia tunapita tu.
Umbea wenu wafaniane hao kina mange kimambi ila kwa wengine muwe na staha
 
We mbwa umeuwasha moto ,ngoja nikununulie bundle mbwa wewe nikuonyeshe
Huna lolote wew majungu tu na husda,unaanzaje kumuita binadam mwenzio mbwa
Dini zote zinaikubali ndoa kama ni tendo takatifu kabisa kufanywa na binadam.
Ndoa ya hao watu ishadumu zaidi ya miaka mitano,unakuja mtu kama wewe eti unamkandia mwanamke mwenzako kuwa ni mmbaya na utamtafutia mumewe mke alie mzuri wa kuolewa nae.
Swali la msingi wew umeumbwa na nani?umejiumba mwenyewe?na uyo wa kuolewa unaemtafuta kaumbwa nani,amejiumba mwenyewe?
Acha nuksi zako kwenye ndoa za watu kama hukubahatika kuolewa kaa kimya sio kuhatibu ndoa za watu huo umbea wako j ifanyie mwenyew na hao walio type yako achana kabisa na familia za watu.
 
Jamani mke wa Eddy hana ubaya hata kidogo kosa ni kumzidi umri mume? Dai yuko na zari nae mkubwa lakini kutwa kumsifia Dai, au kwa kuwa zari ni mweupe? tuache kukosoa Mungu ndie kamuumba na sio Eddy, na kama ni mbaya akosolewe Mungu, ila mume karidhika wapambe kashfa za nini? Tupige umbea ila si kukosoa alivyoumba Mungu, tusipende kuumiza wengine. tukumbuke hujafa hujaumbika., kuna wengine wadogo kiumri lakini nyuchi zao zimesha zeeka kwa kulaliwa tangu wakiwa na umri mdogo, so muacheni Eddy na mkewe.
 
Aliku inspire eehy!?, yuko mjini he grew up, working corporate job.. NBC if not mistaken..cool guy kama back then.
Huwa namwona anaswali ijumaa pale msikiti wa ngazija pembeni ya hindumandal hospital
 
Jamiiforums ni habar nyingine, hakuna kisichofahamika, hakuna kumbukumbu inayokosa documentation...
I real salute you guys
 
Duuh! balaa tupu wanawake wa tz hawapendi kama vitu havijakaa square...!!?
 
Hewalaaa, mke ni zaidi ya sura. Tatizo hawa watu wanaojitia mashuhuri kumchagulia mtu mke wao wenyewe ukute hawajawahi hata kutaniwa uchumba, wanaishia kuchezewa tu halafu wanamletea mshikaji makunyanzi..let them enjoy getting old with each other msiwasemee ya mioyo yao maana hamna kati yetu ajuaye walipendeana nini tunaishia kuspeculate tu.
 
Dooh!! Ila kuna wanawake JF hawatokuja kuolewa kamwee! Kwa namna wanavyotokwa povu over mwanamke mwenzao!! Women you need to take a dose of chill pills asee! (I said women sababu mna vikojoleo vya kike tu, hamstahiki kuitwa ladies if this is how you perceive another person of your own gender)
 
wanawake wajinga ndio wanaowaz Uzuri wa sura na mwili ndio kigezo cha mke sahihi...

wanaume wajanja wote hawaoi sura...

tunaowa mama watoto bora.. life partners.. mtu wa kukupa furaha maishani...

kuna wimbo wa zamani ulisema wanawake wazuri wote wameolewa na wamebaki manunga embe wanaangaika...

uzuri wa mwanamke ni just an added advantage tu when it comes to ndoa
 
Jamani kipendacho roho
Hula nyama mbichi.
Mapenzi ni upofuuuuuuuuu.
Mmmmmh
Hakika hii couple haina mfano.
 
Mashallah mtoto mzuri,anajistiri,hajichubui...hakika huyu ndo wife material

Mkuu ngoja nikwambie kitu, mimi baada ya kuona hiyo picha, nimegundua tatizo mavazi aliyotinga.
Binafsi sijauona ubaya wa huyu mchumba, Ila naona mwanamke anaejiheshimu na alie makini na majukumu yake.
Ili yasiwepo yanayozungumzwa hapa, ilitakiwa atinge Kimini, Rasta fulani Ameizing kama wanayosema wenyewe, na kikuku mguuni.
Angekuwa katika mavazi hayo, haya usingeyasikia, angeonekana wa kisasa anaeenda na wakati.
Tabu sana na huu usasa.
 
Point mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…