Yupo wapi Eddy Sultan?

kwa Hizi comments zenu zitanifany na mie nitafute mwanamke mtu mzima anayejiheshimu mana mabinti siku hizi asilimia kubwa hamjiheshimu mpaka umri uwakimbie
 
Binamu mke wake unamjua?? Yan huwez amin, utadhan mama ake mdogo, mweusi kama magufuli uson sasa utadhan mugabe
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Mungu anakuona tu wewe endelea!!
 
nimempenda huyo mwanamke!ana staha!wanaume huoa kupata tulizo la nafsi!naona eddy kalipata!sio kama wadada wa siku hizi presha tupu!
 
nimempenda huyo mwanamke!ana staha!wanaume huoa kupata tulizo la nafsi!naona eddy kalipata!sio kama wadada wa siku hizi presha tupu!
kweli kabisa mkuu. Hapo mke kapata na atatulia kwelikweli
 
Kwa dini ya kiislam MKE KUWA MKUBWA SIO KOSA, Nadhani wamesahau kuwa Uzuri wa Mke ni tabia. Kuna waliooa wake wazuri kwa sura na maumbo kila siku wako humu kulalamika wanamegewa.
 
Km wazuri waolewe wao basi...sio tabia nzuri kbsa kukosoa uumbaji wa Mungu...ndio keshapenda na kaoa....ni wivuu tu wanataman wao wangeolewa nae wauze sura insta...huku ndoa hawaziwezi...huyo ndio wifematerial sio fake
Big up eddy huyo ndio chaguo lako
Hlf hii tabia ya kuwasema vibaya watu wasio na hatia mitandaoni ni mbaya sana
 
Hakuna kitu mzazi hapendi kama mwanae kuoa mtu aliyemzidi umri sana....angalau hata hamzid kidogo ila sio kwa kupishana huko kwa eddy na mkewe
 
Hakuna kitu mzazi hapendi kama mwanae kuoa mtu aliyemzidi umri sana....angalau hata hamzid kidogo ila sio kwa kupishana huko kwa eddy na mkewe
Wamepishana miaka mingapi.??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…