Yupo wapi Eddy Sultan?

Eddy Itakuwa kalishwa limbwata na huyo mdada ili amuoe kwa nguvu.
Maana sura yake kama ana udugu na Open Kitchen.
Na kile kipini ndo kaharibu.
Au kafata LIVE IT!! LOVE IT!!?
Maana huko nao hawajambo, shikamoo marahaba.
hujafa hujaumbika..Muogope Mungu we dada...
 
Binafsi sikuwahi kuhisi kama huyu jamaa ni muislam, hongera kwake kwa kupata mke mzuri, nakumbuka kipindi hicho tuko madogo naangalia kipindi chake alimleta mtoto akaimba wimbo wa celin dion my heart will go on na yeye akaimba my way wa usher. Nilifurahi sana siku hiyo
 

Ulikuwa unaangalia katuni nini itv ndio ukamkubuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…