kimange
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 1,339
- 1,298
Thats real love.. face is just apearanceNamuona insta, jamaa handsome ila mke wake jaman sura kama kameza panya buku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thats real love.. face is just apearanceNamuona insta, jamaa handsome ila mke wake jaman sura kama kameza panya buku
kwakweli..........,Dah dunia inakuza
hujafa hujaumbika..Muogope Mungu we dada...Eddy Itakuwa kalishwa limbwata na huyo mdada ili amuoe kwa nguvu.
Maana sura yake kama ana udugu na Open Kitchen.
Na kile kipini ndo kaharibu.
Au kafata LIVE IT!! LOVE IT!!?
Maana huko nao hawajambo, shikamoo marahaba.
Hapa uliponi-quote, ni wapi nimeandika simuogopi Mungu?hujafa hujaumbika..Muogope Mungu we dada...
Kukosoa uumbwajio wa binadamu mwenzio ni kumkosoa Mungu. Ila isiwe tabu samahani kama nimekukwaza..Isiwe ishu ya kujibizana.Hapa uliponi-quote, ni wapi nimeandika simuogopi Mungu?
We mbona una ashuo hivo?
Ngoja nikamfuateanatumia edd_mhina
keshaweka private account yake. itakua kasoma comment ya binamu lol
Huyu saizi ni prof yuko india ni rafiki yangu facebookAlikuwa anaitwa nani?
Hapo alipoimbia ni ule ukumbi wa vijana pale kinondoniAlikuwa anaitwa nani?
Mkuu bado hujataja jinaHapo alipoimbia ni ule ukumbi wa vijana pale kinondoni
Habari za Ijumaa nduguz
Kuna huyu jamaa alikuwa anatangaza Kipindi cha watoto wetu cha ITV miaka hiyo ya 90's hadi 2000's. Kuna kipindi tulimuona kwenye magazeti akiwa kavalia nguo za kirubani bt bado alikuwa mdogo sana. sasa sijui kwa sasahivi yupo wapi.? Tuliokuwa watoto enzi zile tulikuwa tunamkubali sana
huyo sio mtoto tena ni mkubwa sasa atakuwa anagonga kwenye 40samsingi au More
anaitwa PROF Nipa Nag mkuu ni professor wa mziki anafanya kazi Rabindra Bharati UniversityMkuu bado hujataja jina
weka pichaNamuona insta, jamaa handsome ila mke wake jaman sura kama kameza panya buku
Mkuu umeandika lugha gani?hali zaa mapema sana .kwao ni makongo juu