Yupo wapi Edie Ganzel

Yupo wapi Edie Ganzel

Kama ni utunzi wa hadithi, namkumbuka sana Edie Ganzel. Sina uhakika kama ana uhusiano na Stanley Ganzel wa TBC ila hadithi yake ya “SIKUWA FUKARA” naikumbuka sana. Nikiona wanavyotahabika wanufaika wa serikali za awamu ya pili hadi nne, waliofutwa vyeti feki, waliotumbuliwa n.k, natamani hadithi hii ichapishwe upya.
Kisiwa cha Sikri alikuwa na hadithi tamu sana,nasikia alikuwa mkazi wa Mji kasoro bahari
 
Kama ni utunzi wa hadithi, namkumbuka sana Edie Ganzel. Sina uhakika kama ana uhusiano na Stanley Ganzel wa TBC ila hadithi yake ya “SIKUWA FUKARA” naikumbuka sana. Nikiona wanavyotahabika wanufaika wa serikali za awamu ya pili hadi nne, waliofutwa vyeti feki, waliotumbuliwa n.k, natamani hadithi hii ichapishwe upya.
Kisiwa cha Sikri
 
Back
Top Bottom