Yupo wapi Edward Lowassa?

Yupo wapi Edward Lowassa?

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
Waku heri ya mwaka mpya.

Kwa upande wangu nimeuanza mwaka vizuri kabisa.

Lakini kuuanza mwaka pasipo kujua hali ya nguli huyu wa siasa za Tanzania hapana Kwa kweli.

Mwenye taarifa kuhusu hali ya jabali hili aniambie, yupo wapi na hali yake kiafya kiujumla ikoje?

Ni Kwa Nia njema Tu, maana sikumbuk mara ya mwisho alionekana lini hadharani.

images (26).jpeg
 
Mzee hatari sana huyu,ukimchafua tu mwenyewe utamsafisha.Tena hata barabara ya vumbi utaideki ili apite.
 
Back
Top Bottom