Yupo wapi Enika yule dada mwenye sauti adimu?

Mostly namuona anapiga kazi na kaka yake Evans Bukuku (Dr. Digital) huwa anaimba na kufanya stand up comedy anazo andaa kaka yake.
 
Biashara ya sanaa kwa ujumla ni magumashi na mizengwe mitupu. Duniani kuna mamilioni ya wasanii lakini wanaofaidika kupitia sanaa zao ni elfu kidogo tu. Sanaa inaweza ikakufanya uishi fabulous life au inaweza ikakufanya uwe masikini wa kutupwa.
Watu wanaoishia njiani na kufanya kutafuta njia mbadala siwalaumu, kwani kazi ni kazi bora upate mkate.
 
Nilitaka kutangaza ndoa kwa Enika enzi za 'baridi kama hii' tatizo umri nilikua mdogo sana......anatakiwa arudi japo afanye single moja tu for funny
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…