sorry kwa kuchelewa kuiona hii post unachotakiwa kufanya ni kufungua hiyo video/picha kwenye page nyingine kisha unacopy url ya hiyo picha/video
baada ya hapo unakuja sehemu ya kuandikia post huku jamiiforums unaandika unachotaka kisha utaona juu ya huu uwanja wa kuandikia post kuna setting mbali mbali
View attachment 360824
kama hapo inavyooneka hapo juu kama url ulizocopy ni za picha unaenda kwenye setting ya picha kama ni url ya video unaenda kwenye setting ya video kisha unapast kwenye setting husika kama picha inavyoonekana...nimetumaini yangu nimeeleweka