God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
we jeni nae. angalia sehemu ya ku attach file then kibony'e halaf uchague kutuna picha au video. unatumia simu au komputa?Mkuu, naomba unielekeze jinsi ya kupost video JF
Natangulisha shukrani
sorry kwa kuchelewa kuiona hii post unachotakiwa kufanya ni kufungua hiyo video/picha kwenye page nyingine kisha unacopy url ya hiyo picha/videoMkuu, naomba unielekeze jinsi ya kupost video JF
Natangulisha shukrani
Ama kweli mwanaume kwa demu ni kama mfupa kwa fisi.sorry kwa kuchelewa kuiona hii post unachotakiwa kufanya ni kufungua hiyo video/picha kwenye page nyingine kisha unacopy url ya hiyo picha/video
baada ya hapo unakuja sehemu ya kuandikia post huku jamiiforums unaandika unachotaka kisha utaona juu ya huu uwanja wa kuandikia post kuna setting mbali mbaliView attachment 360824
kama hapo inavyooneka hapo juu kama url ulizocopy ni za picha unaenda kwenye setting ya picha kama ni url ya video unaenda kwenye setting ya video kisha unapast kwenye setting husika kama picha inavyoonekana...nimetumaini yangu nimeeleweka
Nashukuru mkuusorry kwa kuchelewa kuiona hii post unachotakiwa kufanya ni kufungua hiyo video/picha kwenye page nyingine kisha unacopy url ya hiyo picha/video
baada ya hapo unakuja sehemu ya kuandikia post huku jamiiforums unaandika unachotaka kisha utaona juu ya huu uwanja wa kuandikia post kuna setting mbali mbaliView attachment 360824
kama hapo inavyooneka hapo juu kama url ulizocopy ni za picha unaenda kwenye setting ya picha kama ni url ya video unaenda kwenye setting ya video kisha unapast kwenye setting husika kama picha inavyoonekana...nimetumaini yangu nimeeleweka
usiwaze hivyo mzee mwenzagu ata ungetaka wewe ningekusaidia...Ama kweli mwanaume kwa demu ni kama mfupa kwa fisi.
Mi natumia Tecnowe jeni nae. angalia sehemu ya ku attach file then kibony'e halaf uchague kutuna picha au video. unatumia simu au komputa?
pouwa...worry not mtoto wa mzee edoNashukuru mkuu
wakati unatuma msg angalia kile kialama cha mviribgo ivi ndo pakutuma videoMi natumia Tecno
ndo udhaifu wetu mkuu nakwambia mwanaume yoyote ni dhaifu sana kwa mwanamke.Ama kweli mwanaume kwa demu ni kama mfupa kwa fisi.
yupo youtube.com...amenenepa sana siku hizi aisee
VIP YALE MAMBO YETU YALEEEE...REHMA ZA ALLAHHH ANAZOOO?.... AU NDIO KANENEPA KAWA CHINENEEE KAMA FURUSHI LA TEJA MUOKOTA MAKOPO?.... KAMA VIP TUPIAMO KAPICHAAA.
BAADAE BAADAEE..NITAKUPIGIAAAA
Kama unatumia app ya JF au Tapatalk kuna sehemu hapo chini ya Ku-attach documents, pic,Mi natumia Tecno
Hata ukipiga shoo watu wanazamia chooni kabla ya shoo, watu wanaona kumbi zinajaa ila idadi ya wenye viingilio hawafiki 200!Mziki bila show haulipi. Wateja wenyewe mmejikita ku burn CD na kudownload pirated copies (music), biashara itatoka wapi?
Ama kweli mwanaume kwa demu ni kama mfupa kwa fisi.
Haha ingekuwa ni mwanaume ungesikia wee acha use*** nenda jukwaa la Tech, Gadgets acha uvivu kijana ndiyo jibu angejibiwa mwanaume!Ama kweli mwanaume kwa demu ni kama mfupa kwa fisi.
tena Roy Alikuwa brother ake kabisa Enika,kuna ile nyingine ilikuwa inaitwa Nimekubamba,ilikuwa na m beat flan wa kibabe sanaNgoma yake ya Baridi kama hii hadi leo hii naikubali sana.
Ile bit nadhani iligongwa na marehemu Roy.