Yupo wapi Fatuma Shemweta

Yupo wapi Fatuma Shemweta

Kama ulikuwepo kipindi bongo flava ndo inaanza kushika hatam kukita mizizi bongo basi utakuwa unakikumbuka kipindi maarufu cha bonga na startv kikihostiwa na na mwanadada mrembo maarufu kipindi icho akienda kwa jina la Fatuma Shemweta, nina mda sana sijamsikia, je yupo wapi. Mwenye kujua zaid anijuze habari za huyu mrembo.

Ushampigiaaaaa weeeeehhh Nyeto sasa haikukutosha umekuja kumtaftia humu
 
Alikuwa mzuri sana, nakumbuka nilikuwa mdogo enzi hizo lakini nilikuwa najisikia kitu flan hivi nikimuona[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8]
Hawajakutendea wamemficha ofisini ila usimuone...dah inabidi povu la sabuni liongezeke sasa maana kazi ishakuwa ngumu.
 
Kama ulikuwepo kipindi bongo flava ndo inaanza kushika hatamu kukita mizizi bongo basi utakuwa unakikumbuka kipindi maarufu cha bonga na startv kikihostiwa na na mwanadada mrembo maarufu kipindi icho akienda kwa jina la Fatuma Shemweta, nina mda sana sijamsikia, je yupo wapi mwenye kujua zaid anijuze habari za huyu mrembo.
Jaman fatuma shemweta nimemmis kwny kipindi chake cha bonga na [emoji93] [emoji342] na Yale madoido yake
 
Siku hizi anatangaza channel ya star kids mkuu
 
Kama ulikuwepo kipindi bongo flava ndo inaanza kushika hatamu kukita mizizi bongo basi utakuwa unakikumbuka kipindi maarufu cha bonga na startv kikihostiwa na na mwanadada mrembo maarufu kipindi icho akienda kwa jina la Fatuma Shemweta, nina mda sana sijamsikia, je yupo wapi mwenye kujua zaid anijuze habari za huyu mrembo.
yupo katika channel ya star kids
 
Wardrobe manager wa Sauda Mwilima na wa Saida Karoli ukiwaona tu naomba unistue tununue hiyo vita. Huwa nikiwaangalia najiogopa na Mimi labda nakosea watu watu wa Karibu wananichunia tu.
[emoji23][emoji23][emoji23]uwiih ila sauda nguo hazimpendez kwakwel
 
Kuna lijamaa na mihela yake limemweka ndani linampakua tartiibu
 
Back
Top Bottom