Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
James bond 007(sean connery) davide caradine,Rom kristof ,Leevan Clif,sho kosugi Bruce lee ,angela mao,yule mzee wa dracula.Fred Williamson, Jimmy Kelly ndani ya move kali "one down two to go" ma-actor wakizamani ni pa1 na Franconero,Angela Mao,James Bond almaarufu 007...arghh nimesahau wengine. Ongeza wengine kama unawakumbuka. Kule bollyhood kulikuwa na majina kibao. Amitab batchan, mithun chakarabort, Dharmenda, Rishi kapoor,Shashi kapoor,Rajesh khan na rajesh kumar hawa walikuwa masteling. Kubwa la maadui walikuwa Amjed khana, Amrish puri, Ranjeet,..mademu wa mastaa ni kina Hema Malini. Jaya. Kumbi za cinema wakati huo pale moshi ilikuwa Plaza cinema na ABC Cinema. Mkubwa umenikumbusha mbali sana!
Inafurahisha JF kuwa na mchanganyiko kama huu.MadameX ni actor huyo wa long time sana...watoto wengi humu jamvini hawamjui...
Ama kweli OLD is GOLD, siku hizi Nigeria bana.Fred Williamson, Jimmy Kelly ndani ya move kali "one down two to go" ma-actor wakizamani ni pa1 na Franconero,Angela Mao,James Bond almaarufu 007...arghh nimesahau wengine. Ongeza wengine kama unawakumbuka. Kule bollyhood kulikuwa na majina kibao. Amitab batchan, mithun chakarabort, Dharmenda, Rishi kapoor,Shashi kapoor,Rajesh khan na rajesh kumar hawa walikuwa masteling. Kubwa la maadui walikuwa Amjed khana, Amrish puri, Ranjeet,..mademu wa mastaa ni kina Hema Malini. Jaya. Kumbi za cinema wakati huo pale moshi ilikuwa Plaza cinema na ABC Cinema. Mkubwa umenikumbusha mbali sana!
Hujainyaka hii, wasalimie Nigeria.Nimepita....