Yupo wapi Fred Williamson?

Yupo wapi Fred Williamson?

Fred Williamson, Jimmy Kelly ndani ya move kali "one down two to go" ma-actor wakizamani ni pa1 na Franconero,Angela Mao,James Bond almaarufu 007...arghh nimesahau wengine. Ongeza wengine kama unawakumbuka. Kule bollyhood kulikuwa na majina kibao. Amitab batchan, mithun chakarabort, Dharmenda, Rishi kapoor,Shashi kapoor,Rajesh khan na rajesh kumar hawa walikuwa masteling. Kubwa la maadui walikuwa Amjed khana, Amrish puri, Ranjeet,..mademu wa mastaa ni kina Hema Malini. Jaya. Kumbi za cinema wakati huo pale moshi ilikuwa Plaza cinema na ABC Cinema. Mkubwa umenikumbusha mbali sana!
 
James bond 007(sean connery) davide caradine,Rom kristof ,Leevan Clif,sho kosugi Bruce lee ,angela mao,yule mzee wa dracula.
Kwa dar mpango mzima -empire,empress,avalon,odeon,cameo and driving(hapa wenye ride zao ndio palisomeka)
 
Fred Williamson, Jimmy Kelly ndani ya move kali "one down two to go" ma-actor wakizamani ni pa1 na Franconero,Angela Mao,James Bond almaarufu 007...arghh nimesahau wengine. Ongeza wengine kama unawakumbuka. Kule bollyhood kulikuwa na majina kibao. Amitab batchan, mithun chakarabort, Dharmenda, Rishi kapoor,Shashi kapoor,Rajesh khan na rajesh kumar hawa walikuwa masteling. Kubwa la maadui walikuwa Amjed khana, Amrish puri, Ranjeet,..mademu wa mastaa ni kina Hema Malini. Jaya. Kumbi za cinema wakati huo pale moshi ilikuwa Plaza cinema na ABC Cinema. Mkubwa umenikumbusha mbali sana!
Ama kweli OLD is GOLD, siku hizi Nigeria bana.
 
Umenikumbusha Three The Hard Way. Unajua kuwa huyu ktk miaka ya 60 alikuwa mchezaji wa American football? Unajua kuwa ana mkanda mweusi ktk Kenpo, Shotokan karate, Tae-Kwon-Do? Hivi sasa anafanya kazi km director na producer.

470px-FredWilliamsonJun10.jpg
 
Kwenye One down two to go pia alikwepo Jim Brown. Ma-actor wengine wa zamani ni Sonny Chiba, Bud Spencer, Charles Bronson, Thomas Millian, Chuck Norris na Jackie Chan kabla hajawa corrupted na Hollywood.
 
Back
Top Bottom