Haijulikani huyu bibie Tshala Muana yuko wapi sasa maana hapendi habari zake binafsi zijulikane. Lakini yupo hai mzima wa afya, mama mtu mzima over 62 yrs, 'chibonge' zaidi ya ulivyokuwa ukimuona kwenye video zake.
Huu wimbo wake Nasi na bali marehemu mama yangu aliupenda sana. Ni wimbo mzuri sana
The main message of this song is MARRIAGE."nasi na bali" means i got married, the song is talking about a girl who is saying to her friends"i'm married so you should treat me with respect because i'm not the same girl anymore, i got a ring on my finger, a partner for life and i quit all my bad past habits." Tsala Muana is also saying in this song that the marriage is the proudest thing in a woman life, so everyone who is married should feel lucky and very proud that's it. i hope i help you