Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni juzi tu kafunguliwa kesi kwa kutunga wimbo usiokuwa rafiku kwa serikali.Haijulikani huyu bibie Tshala Muana yuko wapi sasa maana hapendi habari zake binafsi zijulikane. Lakini yupo hai mzima wa afya, mama mtu mzima over 62 yrs, 'chibonge' zaidi ya ulivyokuwa ukimuona kwenye video zake.
Yondo DadaTshala mwana
Mbilia bell
Monica seka
Hawa wamama walikua wananikosha sana!