ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Nenda insta utamuelewaHuu sio ukimya wa kawaida yaani toka simba irudi toka Egypt mechi ya mwanzo na al ahly sijamsikia popote pamoja na ushindi wa nyumbani hajajitokeza kulikoni?
Kesho Simba wanaingia dimbani na watani wao lakini bado manara amekua kimya tu kunani huko?tujuzane
Sent using Jamii Forums mobile app
mfuatilie kwenye page yake ya instagramHuu sio ukimya wa kawaida yaani toka simba irudi toka Egypt mechi ya mwanzo na al ahly sijamsikia popote pamoja na ushindi wa nyumbani hajajitokeza kulikoni?
Kesho Simba wanaingia dimbani na watani wao lakini bado manara amekua kimya tu kunani huko?tujuzane
Sent using Jamii Forums mobile app
Ataongea nini wakati janjajanja ya kupulizia dawa imejulikana