Yupo Wapi Haji Manara Jamani?

Yupo Wapi Haji Manara Jamani?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Huu sio ukimya wa kawaida yaani toka simba irudi toka Egypt mechi ya mwanzo na al ahly sijamsikia popote pamoja na ushindi wa nyumbani hajajitokeza kulikoni?
Kesho Simba wanaingia dimbani na watani wao lakini bado manara amekua kimya tu kunani huko?tujuzane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tui

mfuatilie kwenye page yake ya instagram
 
Yule hawezi kukaa kimya mdomo unawashawasha
 
Tangu alipoikana simbwa amekuwa mpole maana mbumbumbu wengi walichukia
 
Manara, The Great.
Yupo kwenye timing, yaani no research no right to speek..
Yupo kwenye utafiti...ha...ha....ha..ha.
Ukirudi mutamuelewaga tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom