Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Umenikumbusha mbali mkuu!Umofia kwenu jukwaani.
Niende kwenye mada hapo juu. Miaka ya nyuma alikuwepo mwanamama Hawa ambaye alikuwa dereva wa basi jijini Dar.
Anadaiwa kuwa mwanamke wa kwanza kuendesha basi la abiria humu nchini. Pia alisomwa ktk vitabu vya kingereza ktk shule za upili/ secondary kama "Hawa the bus driver"
Mwanamama huyu yupo wapi sasa na anafanya nini?
Muulize boss wake shabibu atakujibuUkimpata unitag mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Muulize boss wake shabibu atakujibu
Simjui huyo bosiMuulize boss wake shabibu atakujibu
Nimmemsikia leo BBC asubuhi akihojiwa anaendesha maloli makubwa ya mafuta kwenda Zambia na kongoUmofia kwenu jukwaani.
Niende kwenye mada hapo juu. Miaka ya nyuma alikuwepo mwanamama Hawa ambaye alikuwa dereva wa basi jijini Dar.
Anadaiwa kuwa mwanamke wa kwanza kuendesha basi la abiria humu nchini. Pia alisomwa ktk vitabu vya kingereza ktk shule za upili/ secondary kama "Hawa the bus driver"
Mwanamama huyu yupo wapi sasa na anafanya nini?
Finction????? FictionYule ni finction character
Ukitagiwa nitag na mimi mkuuUkimpata unitag mkuu