Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Umofia kwenu jukwaani.
Niende kwenye mada hapo juu. Miaka ya nyuma alikuwepo mwanamama Hawa ambaye alikuwa dereva wa basi jijini Dar.
Anadaiwa kuwa mwanamke wa kwanza kuendesha basi la abiria humu nchini. Pia alisomwa ktk vitabu vya kingereza ktk shule za upili/ secondary kama "Hawa the bus driver"
Mwanamama huyu yupo wapi sasa na anafanya nini?