Nashangaa hata walio mpa likes. Huyu hata hamjui D knob atakua kazaliwa elfu 2000 na kitu hapoAcha kugenelize kama hujui yupo wap kaa kmya dogo
Mwamba tungi limemzeesha sanaAmezeeka saivi. Namwonaga pale grand nolasko anafanya shoo mpaka za bia nne. Roho inaniumaga sana
Kwani mwana Fa, hiyo elimu yake ya ifm ndio imemuweka bungeni, Gwamaka naye kasoma dipromasia.Kuna vitu tunashindwa kufahamu kwamba Kama shughuli yako ya kupata ridhiki sio rasmi ni vema ukawa makini Sana ...pindi unapopata pesa hasa pesa Kama walizokuwa wakipata hao wasanii..ni lazima uwe una mindset ya kufocus mbali ...mfano kwa miaka hiyo wasanii wengi walikuwa wahitimu wa. Kidato Cha sita so walikuwa na chance za kujiendeleza but walijisahau ..mfano mwanafa mjanja alistuka mapema akaenda ifm..akirudi jioni anakaa maskani chaga bite makumbusho na wakina soggy doggy..ngwea .jaymoe ..Cha ajabu hawakushtuka kwanini mwenzao anakwenda kujiendeleza na anarudi maskani...wakati na wao ni form six Kama yeye matokeo yake mwanafa Yuko vizuri wenzake wanalia njaa...juzi Kati nilimuona ferooz mitaa ya sinza kwa Remy nilitaka kulia .. na pia nilimuona dark master wanatia huruma..solothang Naye alistuka mapema akaomba viza akaenda uingereza akabaki hukohuko..alijua mambo yatabadilika siku moja ndugu yangu jay moe kinachombeba nyumbani maisha mazuri anaishi sinza ndugu zake wote wako ulaya...fidq mjanja kajipendekeza kwa ay na Mambo yameanza kumnyokea...so hii muhimu hata kwa wasanii wa Sasa hivi...huwa nikimuona harmonize hakifanya fujo namuonea huruma Sana anapata pesa nyingi anazichezea na mademu wa kizungu siku moja atalia na kusaga meno...
Woiii...qchilla wa aseme,dully wa salama na julietha,hbc ya fanani na prof,hakuna kulala,Hao watoto wa era ya kina dimond hawezi kujua kitu huyo D knob kamjulia wapi? John mjema wachumba 30 unadhani anawafahamu, kakuta complex kashafariki akina mabovu ndio kwanza hawajui watoto wa dollsouth, umuulize kama squeezer na keysha anawafahamu, au kama club alicheza ngoma ya kila mmoja anapendeza tishet na jinzi, au kama alitoa kiingilio kwenda kuangalia uzinduzi wa filamu ya girlfriend
Mnooo!D knob nilikua namuelewa sanaa jamaaIle video yake sasa ya kibabe kinoma
Kwa harmo sidhani yaani kungine uko sawa kabisaKuna vitu tunashindwa kufahamu kwamba Kama shughuli yako ya kupata ridhiki sio rasmi ni vema ukawa makini Sana ...pindi unapopata pesa hasa pesa Kama walizokuwa wakipata hao wasanii..ni lazima uwe una mindset ya kufocus mbali ...mfano kwa miaka hiyo wasanii wengi walikuwa wahitimu wa. Kidato Cha sita so walikuwa na chance za kujiendeleza but walijisahau ..mfano mwanafa mjanja alistuka mapema akaenda ifm..akirudi jioni anakaa maskani chaga bite makumbusho na wakina soggy doggy..ngwea .jaymoe ..Cha ajabu hawakushtuka kwanini mwenzao anakwenda kujiendeleza na anarudi maskani...wakati na wao ni form six Kama yeye matokeo yake mwanafa Yuko vizuri wenzake wanalia njaa...juzi Kati nilimuona ferooz mitaa ya sinza kwa Remy nilitaka kulia .. na pia nilimuona dark master wanatia huruma..solothang Naye alistuka mapema akaomba viza akaenda uingereza akabaki hukohuko..alijua mambo yatabadilika siku moja ndugu yangu jay moe kinachombeba nyumbani maisha mazuri anaishi sinza ndugu zake wote wako ulaya...fidq mjanja kajipendekeza kwa ay na Mambo yameanza kumnyokea...so hii muhimu hata kwa wasanii wa Sasa hivi...huwa nikimuona harmonize hakifanya fujo namuonea huruma Sana anapata pesa nyingi anazichezea na mademu wa kizungu siku moja atalia na kusaga meno...
ayaaaaaaaaaaaa wewe homeboy kabisaaaaa... Mlelwa alishavuta.....alifariki 2009 kama sikose...Hastings, Swilla, Mwanyingili bado wapoMi pia kijana wa Mlelwa wa Mbeya Day enzi hizo kabla kutimkia mbele
Mlelwa is immortal as long as am alive, he was exceptional with geography pure exceptional. WakalWakali wa PGM na EGM tulipata basics kwake.ayaaaaaaaaaaaa wewe homeboy kabisaaaaa... Mlelwa alishavuta.....alifariki 2009 kama sikose...Hastings, Swilla, Mwanyingili bado wapo
Upo sahihi kaka mkubwa pamoja na yale mafegi yake lakini wengi alitufanya tusome EGMMlelwa is immortal as long as am alive, he was exceptional with geography pure exceptional. WakalWakali wa PGM na EGM tulipata basics kwake.
Miaka mingi sana imepiitaaa (HuA) sauti nyingi sana zikaskikaa (...) kipindi hicho chote mi sikutoka yeeah [emoji445][emoji445]Jamaa alikuwa mfalme wa Mitaa kuanzia miaka ya 2003 kwa ngoma zake maarufu Kama,
Elimu mitaani.com,
Sauti ya Gharama,
Bomoa Mipango,
Kitu Gani N.k
Yupo wapi huyu mwamba!? Hata Instagram Hana account
View attachment 2014601
sasa nachengua (chengua), kwa sauti yangu hii ya gharamaaaaaa, kama haujajua (haujajua), sauti yangu hii ya gharama....Miaka mingi sana imepiitaaa (HuA) sauti nyingi sana zikaskikaa (...) kipindi hicho chote mi sikutoka yeeah [emoji445][emoji445]
Woiii...qchilla wa aseme,dully wa salama na julietha,hbc ya fanani na prof,hakuna kulala,
East coast na Tmk wakapigwa mawe sabasaba then 2005 wakapigwa tena mawe pale leaders mpk dully akashuka jukwaani...!!!
Imagine inakulazimu ukodi gari ya gharama uonekane una sukuma mkoko expensive plus wapambe na mademu kila unapo endaUnapata milion tano (05) unatumia gharama za milion 4 kujionesha kwamba una milion 5.
it is bad to fake lifeImagine inakulazimu ukodi gari ya gharama uonekane una sukuma mkoko expensive plus wapambe na mademu kila unapo enda
Kunywa pepsi nakuja kulipa.Jose Mtambo kipaji kile,Darasa Huru ni moja ya ngoma zake bora za muda wote
Nawakumbuka walikufa kwa ajali nafikiri!!Complex na Vivian unawakumbuka?
Hapana nakataa pia!Yupo sawa pia kwamba Fid kajipendekeza kwa AY?
Respect wa kiba🙌🙌🙌Wasanii wengi sana wa kipindi cha 2000 hadi 2010 wanatia huruma sana tena sana!
1. Kwenye kundi la wanaume family wengi wao ni choka mbaya,mateja na wengine watapeli
2. TMK family nao ni choka mbaya!
3. Gangwe Mob, Inspector Haruni hua anapiga show hadi ya beer mbili! Mwenzake Luteni Kalama sijui yuko wapi!
4. HB sijui wako wapi, Jay kidogo ndiyo yupo lakini Fanani alikua Teja balaa!
5. University Corner wako wapi
6. Manzese Crew wako wapi
7. Tip Top wako wapi
8. East Coast timu wako wapi
9. BWV wako wapi
10. East zoo wako wapi
11. Zay B
12. Sister P
13. B band wako wapi
14. Matonya yuko wapi
15. Jose Mtambo
16. Dan Msimamo
17. Daz Dundaz wako wapi
Wasanii ni wengi sana wamepotea kutokana na madawa au umri umewaacha!
Wachache sana bado wapo kwenye hit