Yupo wapi Innocent Sahani maarufu kama D Knob?

Yupo wapi Innocent Sahani maarufu kama D Knob?

Kuna vitu tunashindwa kufahamu kwamba Kama shughuli yako ya kupata ridhiki sio rasmi ni vema ukawa makini Sana ...pindi unapopata pesa hasa pesa Kama walizokuwa wakipata hao wasanii..ni lazima uwe una mindset ya kufocus mbali ...mfano kwa miaka hiyo wasanii wengi walikuwa wahitimu wa. Kidato Cha sita so walikuwa na chance za kujiendeleza but walijisahau ..mfano mwanafa mjanja alistuka mapema akaenda ifm..akirudi jioni anakaa maskani chaga bite makumbusho na wakina soggy doggy..ngwea .jaymoe ..Cha ajabu hawakushtuka kwanini mwenzao anakwenda kujiendeleza na anarudi maskani...wakati na wao ni form six Kama yeye matokeo yake mwanafa Yuko vizuri wenzake wanalia njaa...juzi Kati nilimuona ferooz mitaa ya sinza kwa Remy nilitaka kulia .. na pia nilimuona dark master wanatia huruma..solothang Naye alistuka mapema akaomba viza akaenda uingereza akabaki hukohuko..alijua mambo yatabadilika siku moja ndugu yangu jay moe kinachombeba nyumbani maisha mazuri anaishi sinza ndugu zake wote wako ulaya...fidq mjanja kajipendekeza kwa ay na Mambo yameanza kumnyokea...so hii muhimu hata kwa wasanii wa Sasa hivi...huwa nikimuona harmonize hakifanya fujo namuonea huruma Sana anapata pesa nyingi anazichezea na mademu wa kizungu siku moja atalia na kusaga meno...
Kwani mwana Fa, hiyo elimu yake ya ifm ndio imemuweka bungeni, Gwamaka naye kasoma dipromasia.
 
Hao watoto wa era ya kina dimond hawezi kujua kitu huyo D knob kamjulia wapi? John mjema wachumba 30 unadhani anawafahamu, kakuta complex kashafariki akina mabovu ndio kwanza hawajui watoto wa dollsouth, umuulize kama squeezer na keysha anawafahamu, au kama club alicheza ngoma ya kila mmoja anapendeza tishet na jinzi, au kama alitoa kiingilio kwenda kuangalia uzinduzi wa filamu ya girlfriend
Woiii...qchilla wa aseme,dully wa salama na julietha,hbc ya fanani na prof,hakuna kulala,
East coast na Tmk wakapigwa mawe sabasaba then 2005 wakapigwa tena mawe pale leaders mpk dully akashuka jukwaani...!!!
 
Kuna vitu tunashindwa kufahamu kwamba Kama shughuli yako ya kupata ridhiki sio rasmi ni vema ukawa makini Sana ...pindi unapopata pesa hasa pesa Kama walizokuwa wakipata hao wasanii..ni lazima uwe una mindset ya kufocus mbali ...mfano kwa miaka hiyo wasanii wengi walikuwa wahitimu wa. Kidato Cha sita so walikuwa na chance za kujiendeleza but walijisahau ..mfano mwanafa mjanja alistuka mapema akaenda ifm..akirudi jioni anakaa maskani chaga bite makumbusho na wakina soggy doggy..ngwea .jaymoe ..Cha ajabu hawakushtuka kwanini mwenzao anakwenda kujiendeleza na anarudi maskani...wakati na wao ni form six Kama yeye matokeo yake mwanafa Yuko vizuri wenzake wanalia njaa...juzi Kati nilimuona ferooz mitaa ya sinza kwa Remy nilitaka kulia .. na pia nilimuona dark master wanatia huruma..solothang Naye alistuka mapema akaomba viza akaenda uingereza akabaki hukohuko..alijua mambo yatabadilika siku moja ndugu yangu jay moe kinachombeba nyumbani maisha mazuri anaishi sinza ndugu zake wote wako ulaya...fidq mjanja kajipendekeza kwa ay na Mambo yameanza kumnyokea...so hii muhimu hata kwa wasanii wa Sasa hivi...huwa nikimuona harmonize hakifanya fujo namuonea huruma Sana anapata pesa nyingi anazichezea na mademu wa kizungu siku moja atalia na kusaga meno...
Kwa harmo sidhani yaani kungine uko sawa kabisa
 
ayaaaaaaaaaaaa wewe homeboy kabisaaaaa... Mlelwa alishavuta.....alifariki 2009 kama sikose...Hastings, Swilla, Mwanyingili bado wapo
Mlelwa is immortal as long as am alive, he was exceptional with geography pure exceptional. WakalWakali wa PGM na EGM tulipata basics kwake.
 
Mlelwa is immortal as long as am alive, he was exceptional with geography pure exceptional. WakalWakali wa PGM na EGM tulipata basics kwake.
Upo sahihi kaka mkubwa pamoja na yale mafegi yake lakini wengi alitufanya tusome EGM
 
Jamaa alikuwa mfalme wa Mitaa kuanzia miaka ya 2003 kwa ngoma zake maarufu Kama,
Elimu mitaani.com,
Sauti ya Gharama,
Bomoa Mipango,
Kitu Gani N.k

Yupo wapi huyu mwamba!? Hata Instagram Hana account

View attachment 2014601
Miaka mingi sana imepiitaaa (HuA) sauti nyingi sana zikaskikaa (...) kipindi hicho chote mi sikutoka yeeah [emoji445][emoji445]
 
Miaka mingi sana imepiitaaa (HuA) sauti nyingi sana zikaskikaa (...) kipindi hicho chote mi sikutoka yeeah [emoji445][emoji445]
sasa nachengua (chengua), kwa sauti yangu hii ya gharamaaaaaa, kama haujajua (haujajua), sauti yangu hii ya gharama....

kwa muonekano kama vile nipo sipo,
ningeongea ndio kabisa kama sio,
kwenye kila beat sauti yangu iko ndio,
nikishika MIC ndio naleta Mishiko,
hata bila mixing iko bomba,
kwa kweli inanifurahisha kwenye featuring inavyomeza
napata breeze kwa kila dambu ninaloingia,
nalamba nyapu kwa kila kiwanja ninachonusa,
inapendeza kwenye hip hop hata RnB,
hata ragga, hata kwaito hata dance hall,
hata kwa song ile new sikosi,
lilwe kavu hata kwa commercial tuta-shineeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

huuuuuuuuuuuuuuuuuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
kwa sauti yangu napewa heshima ya real MC,
D.Knob njoo maskani machizi wanakumiss,
na baada ya show nabeba mshiko halafu inakua hivi,
Mez B twende club tukabebe mabinti,
sauti yangu ya gharama kama sumaku hivi,
inaleta marafiki, inaleta maadui,
ipo mzigoni kutokana na elimu ya mitaani,
iliyowaingiza darasani, sasa nawapa burudani,
ndiomaana dakika moja mitaaani, ya pili studioni na ya tatu itakuwa sokoni.,
ndiomaana dakika moja mitaani, ya pili studioni yaaaaaaaaaaaaap
 
Woiii...qchilla wa aseme,dully wa salama na julietha,hbc ya fanani na prof,hakuna kulala,
East coast na Tmk wakapigwa mawe sabasaba then 2005 wakapigwa tena mawe pale leaders mpk dully akashuka jukwaani...!!!

Complex na Vivian unawakumbuka?
 
Wasanii wengi sana wa kipindi cha 2000 hadi 2010 wanatia huruma sana tena sana!
1. Kwenye kundi la wanaume family wengi wao ni choka mbaya,mateja na wengine watapeli

2. TMK family nao ni choka mbaya!

3. Gangwe Mob, Inspector Haruni hua anapiga show hadi ya beer mbili! Mwenzake Luteni Kalama sijui yuko wapi!

4. HB sijui wako wapi, Jay kidogo ndiyo yupo lakini Fanani alikua Teja balaa!

5. University Corner wako wapi
6. Manzese Crew wako wapi
7. Tip Top wako wapi
8. East Coast timu wako wapi
9. BWV wako wapi
10. East zoo wako wapi
11. Zay B
12. Sister P
13. B band wako wapi
14. Matonya yuko wapi
15. Jose Mtambo
16. Dan Msimamo
17. Daz Dundaz wako wapi
Wasanii ni wengi sana wamepotea kutokana na madawa au umri umewaacha!

Wachache sana bado wapo kwenye hit
Respect wa kiba🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom