joshydama
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,623
- 5,039
Habari wana MMU?
Huyu mdada Jane Lowassa yupo kweli humu ndani?
Yupo kimya sana siku hizi hata sioni comment zake huku JF.
Kiukweli nimemmisi sana uwepo wake humu ndani maana ana hoja nzuri sana na huwa navutiwa na comment zake.
Salamu zikufikie popote ulipo JANE LOWASSA.