themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 1,033
- 3,720
BAK (Bubu Ataka Kusema )kweli kitambo sijaona posts zake umefanya vyema kumuulizia.Huyu ni member maarufu na mkongwe humu jf lakini kwa kipindi cha zaidi ya miezi mitatu kapotea humu na hajapost wala ku comment chochote, na sio kawaida yake, kama yupo humu atujuze maana isije ikawa ndio wale wazee wa kuunga juhudi za mkulu hivyo akaamua kusepa kimya kimya
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ni member maarufu na mkongwe humu jf lakini kwa kipindi cha zaidi ya miezi mitatu kapotea humu na hajapost wala ku comment chochote, na sio kawaida yake, kama yupo humu atujuze maana isije ikawa ndio wale wazee wa kuunga juhudi za mkulu hivyo akaamua kusepa kimya kimya
Sent using Jamii Forums mobile app
BAK hawezi kuwa copenhagen ni vichwa viwili vinavyozidiana uwezo.BAK ndio huyu huyu Copenhagen
.Hali tete huko Scandinavia masaa 24 wanapiga box
Yuko JamiiForums.com, nimemwambia anatafutwa huku maybe atakujaBAK (Bubu Ataka Kusema )kweli kitambo sijaona posts zake umefanya vyema kumuulizia.