themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 1,033
- 3,720
Huyu ni member maarufu na mkongwe humu jf lakini kwa kipindi cha zaidi ya miezi mitatu kapotea humu na hajapost wala ku comment chochote, na sio kawaida yake, kama yupo humu atujuze maana isije ikawa ndio wale wazee wa kuunga juhudi za mkulu hivyo akaamua kusepa kimya kimya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app